Hunteroflove
Senior Member
- Sep 18, 2014
- 126
- 92
Asante kwa ushauriHuyo dem ni wa siku zote au ndo mara ya kwanza? Ka ndo mara yenu ya kwanza; Uza mali zako ujilie haraka, kwani umelala na mke wa mutuu. Jini mahaba. Hauponi ng'o. Mkome kujifanya vijogoo
Huyo dem ni wa siku zote au ndo mara ya kwanza? Ka ndo mara yenu ya kwanza; Uza mali zako ujilie haraka, kwani umelala na mke wa mutuu. Jini mahaba. Hauponi ng'o. Mkome kujifanya vijogoo
Jaman waungwana hebu nisaidieni nilimgegeda Demu mmoja mda mrefu baada ya tendo kuisha nikaanza kusikia kizunguzungu hapohapo hii week ya sita sasa inaelekea ya saba homa macho mazito na ninahisi vitu vinachoma mwilini na km vitu vinatembea hivi nimeenda hospitali Kumweleza dokta akanipima malaria nikautwa na malaria ila baada ya dozi hali ileile au ndo tayari waungwana
Mara ya kwanza mkuu hichi kizunguzungu na homa ya mbali kinaninyima aman maana nashindwa hata kufanya issue zangu za kila siku sjui anamajini
Da majanga nduguSio kila demu wa kumkurupukia haya shaurilo
Ha ha pole katubuuuu Mungu akuponye tuDa majanga ndugu
Mkuu kwani kile kipimo cha kupima magonjwa yote ni bei ganiDuuuuh kapime vipimo vyote...
Mkuu kwani kile kipimo cha kupima magonjwa yote ni bei gani
Mkuu kwani kile kipimo cha kupima magonjwa yote ni bei gani
Mpaka Leo huna bima ya afya mkuu.Mkuu kwani kile kipimo cha kupima magonjwa yote ni bei gani
Mpaka Leo huna bima ya afya mkuu.
Sijakata bima ya afya mkuuMpaka Leo huna bima ya afya mkuu.