huyu ni mtoto wangu tokea hali hii imkute ni takribani mwaka sasa, amekuwa akijikuna na kuwashwa sana hasa katika hali ya joto, nimefika hospital moja ya rufaa mara kadhaa na wakasema ni arlegy akaandikiwa dawa hizi za kutumia
Dawa hizi amekuwa akipewa kwa wakati tofauti tofauti, na wakati wa kutumia dawa vipele hupungua na kukauka ila akimaliza dawa huanza tena. Tafadhali naomba msaada ushauri au tiba sababu mtoto anateseka sana.
hili tatizo limekuwa likiwakumba watoto wengo siku hizi nimekutana na watoto kadhaa wanamatatizo hayo, nangoja maoni ya wataalam labda nitawasaidia ntakao kutana nao