Ufugaji wa sungura

Sili sungura lakini napenda kuwaona tu kama maua.Nitawafuga kama mapambo.

zamani ndo nilikuwa nawala sana lkn ajabu walikuja nishinda tu ghafla tena kwa kutapika kabisa.
Napenda sana mkojo wao na mbolea yao hasa kwa bustani za nyumbani.

subiri waje
Do you know any market or big farmers wa sungura. I of course don't it. I love as pets
 
Back
Top Bottom