Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,583
- 23,400
Manispaa ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro imeingia kwenye Kashfa kubwa hasa baada ya mwaka 2015 pale Uongozi ulipobadilika.
Kabla ya mwaka 2015 , mkoa ulikuwa unajengeka, msafi na una maendeleo, alipoingia JUMA RAIBU[Meya aliyeondoshwa] alianza kutoa vibali vya ujenzi katikati ya mji kujenga nyumba ndogo , za chini na ukarabati wa hovyo.
Lakini hakuishia hapo, alianza kugawa maeneno ya wazi Makada kujenga vituo vya mafuta na sehemu za starehe.
JUMA RAIBU[CCM][Mwenye kashfa iliyomwondoa madarakani baada ya kushiriki hayo mambo] anayokataa museveni, alitoa vibali kuhamisha soko la samaki la mbuyuni na kulipeleka mailisiti-shiri njoro.
Mwaka 2020 Meya aliyechukua nafasi ya Juma ndio ikawa mbaya zaidi, amegawa open space pekee iliyokuwa majengo maenneo ya DEEP SEE pale Mfahamiko kwa mtu aliyefungua BAA INAITWA DEO CAMP, HII BAA imechukua eneo la wazi la watu kupumzika na kufanya mazoezi na limezunguka makazi ya watu, watoto wa nyumba zote jirani hasa wa kike wanaharibikiwa kutokana na hiyo DEO CAmp.
Ameuza njia panda kwenda Railway, mfanyabiashara mmoja ambaye pia ni kaa wa chama na mmiliki wa Mabasi ya Kwenda Dar -Arusha , ambaye ni mmiliki wa mabucha ya nyama na mmiliki wa ghorofa la biashara Posta-Moshi lenye maduka na linaloangaliana na Posta, huyu bwana amechukua maeneo mengi ya wazi:
MEYA WA SASA: ameingia kwenye kashfa nyingine ya ku-jenga ukuta kwa mamilioni, kuzunguka Manispaa ya Moshi, gharama iliyotumika ni kubwa mara tatu ya gharama halisi,; hakuna upinzani hivyo chama kinaamua la kufanya bila kuonywa.
Naomba Waziri ANGELA KAIRUKI, toa onyo , fanya ziara ya kushtukiza, Njoo Moshi okoa fedha za Serikali, kuna ufisadi uliopitiliza, MAMA SAMIA akijua hili ATATOA MACHOZI.
Manaibu Waziri Deogratius J. Ndejembi na Mhe.. Dkt. Festo John Dugange msaidieni SAMIA SULUHU kupangua safu hapo Manisapaa ya Moshi, kiukweli kuna ufisadi ambao mkisema mnafunga safari kuelekea Moshi watu watatoroka ofisi kabla Hamjafika:
TISS, PCCB, POLISI na undercover wengine naombeni mchunguze huyu Mhe. Zuberi A. Kidumo ambaye ndio meya wa Manispaa:
Madiwani wa Moshi ni hawa>

- Mhe. Zuberi A. Kidumo (Mstahiki Meya) - Diwani Kata ya Njoro
- Mhe. Stuart N. Nkinda (Naibu Meya) - Diwani Kata ya Mfumuni
- Mhe. Abuu Shayo - Diwani Kata ya Mjimpya
- Mhe. Apaikunda Naburi - Diwani Kata ya Mawenzi
- Mhe. Bashiri A. Tassama - Diwani Kata ya Kiusa
- Mhe. Benedictory Mwashambwa - Diwani Kata ya Longuo ‘B’
- Mhe. Charles J Lyimo - Diwani Kata ya Msaranga
- Mhe. Deogratius J. Mallya - Diwani Kata ya Karanga
- Mhe. Ernest S. Mlembezi - Diwani Kata ya Kilimanjaro
- Mhe. Francis Shio - Diwani Kata ya Shirimatunda
- Mhe. Frank H. Kagoma - Diwani Kata ya Kiborloni
- Mhe. Gadiel E. Mrema - Diwani Kata ya Ng’ambo
- Mhe. Heavenlight Kiondo - Diwani Kata ya Korongoni
- Mhe. Hamphrey Mosha - Diwani Kata ya Majengo
- Mhe. Masiu Kilusu - Diwani Kata ya Bondeni
- Mhe. Mohamed A. Mushi - Diwani Kata ya Miembeni
- Mhe. Nassib M. Abdallah - Diwani Kata ya Kaloleni
- Mhe. Pastori W. Minja - Diwani Kata ya Pasua
- Mhe. Charles T. Mmbando - Diwani Kata ya Soweto
- Mhe. William G. Kiwia - Diwani Kata ya Rau
- Mhe. Juma R. Juma - Diwani Kata ya Bomambuzi