Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,167
- 2,590
Ngoja yatatafutwa matokeo tenah ya 2012,Hapo mbeleeniHi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki
Sasa hivi imekuwa too much...
Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point 7... 🙌😄🤔
Aisee kazi kweli kweli....Kuna uwezekano mkubwa sana wanafunzi wote walikutana na zaidi ya asilimia 90 ya maswali ambayo wameshayafanyia mazoezi.
Swali ni ilikuaje walimu wakaweza kutabiri maswali kwa kiwango kikubwa hivyo? tena kwa masomo zaidi ya saba?
It's insane!
HahahahahInabidi wawe wanapewa mtihani wao tofauti, huu umeshakuwa mwepesi sana kwao😆😆
Kwa hiyo Kanisa Katoliki linaiba mitihani? Ili iweje?Kuna uwezekano mkubwa sana wanafunzi wote walikutana na zaidi ya asilimia 90 ya maswali ambayo wameshayafanyia mazoezi.
Swali ni ilikuaje walimu wakaweza kutabiri maswali kwa kiwango kikubwa hivyo? tena kwa masomo zaidi ya saba?
It's insane!
Enzi zetu A iliuwa 85. Sasa ni 75 usishangae sanaHi ni ST Francis ya Mbeya hata miaka hiyo walikuwa wanapiga hizi one, lakini one za 7 hazikuwa nyingi kiasi hiki
Sasa hivi imekuwa too much...
Yaani Wanafunzi wote 91 wamepata one ya point 7... 🙌😄🤔
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtoto wangu akipata foo ntajua kabisa DNA sio yangu nimepigwaMpwa wake na Extrovert amepata DIVISHENI FOO
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mtoto wangu akipata foo ntajua kabisa DNA sio yangu nimepiMpwa wake na Extrovert amepata DIVISHENI FOO
Kikubwa upo BOT kwa sasa we endelea kuchapa kazi😂Huko o level ukiya master masomo ya sayansi vizuri na katika masomo ya art ukajua kuandika essay kupangilia na kuelezea points vizuri, tayari division one ipo nje nje.
Mimi nilikuwa naweza kuelezea point namkuna mwalimu mpaka pale kwenye point nilipoelezea mwalimu ana andika excellent kabla ya kuweka marks za jumla juu ya karatasi.
Nakumbuka wakati niko o-level nilikuwa nimezoea kuwa wa kwanza darasani katika kila muhula na katika kila mtihani uliokuwa mbele yangu. Matokeo ya monthly test yalikuwa yanaamua nani atakuwa wa kwanza katika muhula husika. Sasa kuna monthly test za muhula fulani kuna jamaa alikuwa amenikimbiza amenizidi mark 9 yeye anaenda kuwa wa kwanza na mimi wa pili na ilikuwa imebaki bado hatujafanya mtihani mmoja wa somo la history. Matokeo ya monthly test hiyo yaliwasisimua wanadarasa wakawa wanayafuatilia kama watanzania wanavyopenda kufuatilia matokeo ya Simba na yanga kwamba sasa mimi mbuyu ninaenda kuangushwa katika utawala wa kuwa kwanza darasani.
Nami nikaongeza umakini kufuatilia mtanange unavyoenda.Tulipokuja kufanya mtihani ule wa somo la history uliokuwa umebakia , mimi nikapata marks 95 na aliyenifuatia darasani alikuwa na marks 65 ikani-boost kwenye masomo mengine nikaibuka kidedea nikawa wa kwanza tena kidarasa. Niliweka heshima darasani kila mtu darasani akawa ana niheshimu.
Kuna chawa wangu darasani ambaye alikuwa anapenda kuniletea kila swali linalomtatiza nimsaidie kuli-solve , alinifata baada mtanange ule akaniambia "Kusoma ni kipaji sio kila mtu anacho . Wewe una kipaji sio cha kawaida aisee."