Lady Whistledown
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 1,129
- 1,946
Teh teh teh. Mnaongea as if uwa mnazuiwa pale mnapojaribu kufanya yenu.Ni mda sasa Africa waache kuwa tegemezi na kufanya yetu
Mrusi nitapeleka,🤸🤸🤸🤸🤸Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023
Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi
....,..
France suspends aid to Burkina Faso
France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.
The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.
The military government in Mali has taken the same position.
It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.
Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.
The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools
Source: BBC
Kwa nini utoe mfano wa mtu ambaye tunamsoma kwenye vitabu ..wakati mfano hai wa mikataba mibovu IPO .... SEMA mikataba ya Kisa100....Hivi ni Ufaransa ndio inaisaidia Burkinafaso au Burkinafaso ndio inaisaidia Ufaransa. Hawa viongozi mabeberu kazi yao ni kuchota rasilimali za Afrika na kuzipeleka ulaya, waafrika Wakifanikiwa kupata Viongozi Makini ukoloni mambo leo utatoweka, ila kama tutaendelea kuwa na hawa kina Chief Mangungo safari bado ni ndefu
Watu hawatazungumzia suala la Ufaransa kuwekeza katika Uranium iliyopo Niger, vikwazo vya NATO vinavoathiri uchumi wao wenyewe na suala la kukosa pa kukimbila zaidi ya kugombania rasilimali za Afrika.Ni mda sasa Africa waache kuwa tegemezi na kufanya yetu
Ufaransa huenda likawa taifa la mwanzo Ulaya kufa.Sasa hivi wanarusha mateke. Ujerumani itafuatia.Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023
Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi
....,..
France suspends aid to Burkina Faso
France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.
The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.
The military government in Mali has taken the same position.
It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.
Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.
The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools
Source: BBC
Sawa,wapite hivi hao wafaransaNi baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023
Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi
....,..
France suspends aid to Burkina Faso
France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.
The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.
The military government in Mali has taken the same position.
It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.
Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.
The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools
Source: BBC
Bora hata Ujerumani Hana utegemezi Kwa makoloni,maana hanaUfaransa huenda likawa taifa la mwanzo Ulaya kufa.Sasa hivi wanarusha mateke. Ujerumani itafuatia.
Huu upepo ukifika East Africa,ahaaaa simpati picha akina Kagame na MseveniKama ni hivyo basi yanayofanyika Niger kumbe ni halali basi tuombee yatokee na hapa kwetu kwa maana dhiki wanayopata raia wa Niger na tunayopata sisi chini ya mkoloni mweusi ccm hamna tofauti kabisa.
Huu upepo ukifika East Africa,ahaaaa simpati picha akina Kagame na MseveKama ni hivyo basi yanayofanyika Niger kumbe ni halali basi tuombee yatokee na hapa kwetu kwa maana dhiki wanayopata raia wa Niger na tunayopata sisi chini ya mkoloni mweusi ccm hamna tofauti kabisa.
Mfaransa ndo anasaidiwa,na si kinyume chakeHivi ni Ufaransa ndio inaisaidia Burkinafaso au Burkinafaso ndio inaisaidia Ufaransa. Hawa viongozi mabeberu kazi yao ni kuchota rasilimali za Afrika na kuzipeleka ulaya, waafrika Wakifanikiwa kupata Viongozi Makini ukoloni mambo leo utatoweka, ila kama tutaendelea kuwa na hawa kina Chief Mangungo safari bado ni ndefu
Ufaransa hamna kitu ni mabwege fulani na hawajielewiNi baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023
Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi
....,..
France suspends aid to Burkina Faso
France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.
The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.
The military government in Mali has taken the same position.
It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.
Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.
The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools
Source: BBC
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum
Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023
Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi
....,..
France suspends aid to Burkina Faso
France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.
The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.
The military government in Mali has taken the same position.
It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.
Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.
The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools
Source: BBC
Sasa hiyo misaada si muache kwani kuna mtu anawalazimisha na hiyo misaada. Watu uongozi hamna, teknolojia hamna, sera nzuri hamna halafu eti mnaongea utumbo.Kile ambacho watawala wengi wa Africa hawajui ni
‘Hakuna msaada unatolewa na nchi za Magharibi’
Ni rasimali za Africa wanazochukua wanarudisha surplus baada ya kupata wao faida zaidi..
Hakuna AID yoyote ni pesa yetu wenyewe
Waache kukupumbazwa na rangi nyeupe.. Hawa watu ni washenzi period. Hawamthamini Mwafrika wanachofanya ni kucheza na akili za watawala nao wanaamini
Umaskini wetu ni zao la Ujinga wetu.
Ndo huyo huyo kamtaja , coding.....Kwa nini utoe mfano wa mtu ambaye tunamsoma kwenye vitabu ..wakati mfano hai wa mikataba mibovu IPO .... SEMA mikataba ya Kisa100....