Ufaransa yasitisha Misaada Burkina Faso kwa kuiunga Mkono Niger

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,140
1,967
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum

Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023

Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi

....,..

France suspends aid to Burkina Faso

France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.

The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.

The military government in Mali has taken the same position.

It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.

Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.

The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools

Source: BBC
 
Mrusi nitapeleka,🤸🤸🤸🤸🤸
 
Hivi ni Ufaransa ndio inaisaidia Burkinafaso au Burkinafaso ndio inaisaidia Ufaransa. Hawa viongozi mabeberu kazi yao ni kuchota rasilimali za Afrika na kuzipeleka ulaya, waafrika Wakifanikiwa kupata Viongozi Makini ukoloni mambo leo utatoweka, ila kama tutaendelea kuwa na hawa kina Chief Mangungo safari bado ni ndefu
 
Kwa nini utoe mfano wa mtu ambaye tunamsoma kwenye vitabu ..wakati mfano hai wa mikataba mibovu IPO .... SEMA mikataba ya Kisa100....
 
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum

Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023

Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi

....,..

France suspends aid to Burkina Faso

France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.

The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.

The military government in Mali has taken the same position.

It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.

Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.

The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools

Source: BBC
Ufaransa huenda likawa taifa la mwanzo Ulaya kufa.Sasa hivi wanarusha mateke. Ujerumani itafuatia.
 
Sawa,wapite hivi hao wafaransa
 
Kama ni hivyo basi yanayofanyika Niger kumbe ni halali basi tuombee yatokee na hapa kwetu kwa maana dhiki wanayopata raia wa Niger na tunayopata sisi chini ya mkoloni mweusi ccm hamna tofauti kabisa.
Huu upepo ukifika East Africa,ahaaaa simpati picha akina Kagame na Mseveni
 
Kama ni hivyo basi yanayofanyika Niger kumbe ni halali basi tuombee yatokee na hapa kwetu kwa maana dhiki wanayopata raia wa Niger na tunayopata sisi chini ya mkoloni mweusi ccm hamna tofauti kabisa.
Huu upepo ukifika East Africa,ahaaaa simpati picha akina Kagame na Mseve
Hivi ni Ufaransa ndio inaisaidia Burkinafaso au Burkinafaso ndio inaisaidia Ufaransa. Hawa viongozi mabeberu kazi yao ni kuchota rasilimali za Afrika na kuzipeleka ulaya, waafrika Wakifanikiwa kupata Viongozi Makini ukoloni mambo leo utatoweka, ila kama tutaendelea kuwa na hawa kina Chief Mangungo safari bado ni ndefu
Mfaransa ndo anasaidiwa,na si kinyume chake
 
Ni baada Serikali ya Kijeshi Nchini Burkina Faso kusema itapigana na yeyote atakayejaribu kuwavamia Kijeshi viongozi waliofanya mapinduzi nchini Niger ili kumrejesha Madarakani Rais Mohamed Bazoum

Hatua hii inakuja baada ya muda ambao Jumuiya ya Afrika Magharibi ECOWAS iliwataka Viongozi wa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Niger kurejesha Utawala wa Kiraia na kumrejesha madarakani Rais Mohamed Bazoum, ulipopita Jioni ya Agosti 6, 2023

Hadi sasa ECOWAS bado haijatoa taarifa kuhusu hatua inayofuata ambayo inajumuisha kuingilia suala hilo Kijeshi

....,..

France suspends aid to Burkina Faso

France has suspended all development aid and budget support to Burkina Faso.

The announcement comes after the military government in Burkina Faso said it would regard any armed intervention against the coup leaders in neighbouring Niger as a declaration of war.

The military government in Mali has taken the same position.

It comes as a deadline by the West African bloc Ecowas for the military coup leaders in Niger to restore constitutional order and reinstate ousted President Mohamed Bazoum lapsed on Sunday evening.

Ecowas is yet to make a statement on the next line of action which includes military intervention.

The grouping earlier stated that this would be a “last option” if all other political and diplomatic options fail.
Article share tools

Source: BBC
Ufaransa hamna kitu ni mabwege fulani na hawajielewi
 
Kile ambacho watawala wengi wa Africa hawajui ni

‘Hakuna msaada unatolewa na nchi za Magharibi’

Ni rasimali za Africa wanazochukua wanarudisha surplus baada ya kupata wao faida zaidi..

Hakuna AID yoyote ni pesa yetu wenyewe

Waache kukupumbazwa na rangi nyeupe.. Hawa watu ni washenzi period. Hawamthamini Mwafrika wanachofanya ni kucheza na akili za watawala nao wanaamini

Umaskini wetu ni zao la Ujinga wetu.
 
IMG_20230806_142311.jpg
 
Sasa hiyo misaada si muache kwani kuna mtu anawalazimisha na hiyo misaada. Watu uongozi hamna, teknolojia hamna, sera nzuri hamna halafu eti mnaongea utumbo.

Ni nchi gani imekuja Afrika kupora mali halafu Afrika ikae tu kuwaangalia wanavyopora mali. Ukishakuwa maskini usilete visingizio vya kijingajinga, kubali matokeo.
 
Nchi za Ulaya na America.. wao wamekalia vikwazo.. misaada wanayotoa sasa hv ndio wanatumia kama silaha... hii inafikirisha sana... Africa Unite-Rest in Peace Bob Mary..
 
Back
Top Bottom