BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,736
- 3,196
Moja ya Eneo Muhimu la watu katika uongozi ni Wale unao onana nao Kila siku (Wanaokuzunguka) kama ni Machawa utafanya vituko vingi. Rais anapaswa kuzungukwa na vichwa vyenye Hekima ndio wa kumshauri sio Vijana ambao hawajawa tested na matukio, angalia waliofanya kazi na Nyerere/ Mkapa n.k.
Ukiwa Msomaji wa Biblia utakumbuka Mtoto wa Mfalme Suleimani, alivyoachiwa kiti Cha Ufalme, aliacha ushauri wa watu wenye hekima, akafuata vijana MACHAWA, Israel iligawanyika vipande.
Mama amezungukwa na kila kituko. Watu wa karibu wa Mama ni watu wa Hovyo.