Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 4,570
- 14,002
Miaka ya karibuni imekuwa the new normal kukutana na Chinese brands kwenye game la heavy duty machines, brands kama SANY, XCMG, LiuGong, Zoomlion, Shantui, SDLG na SINOTRUK.
Iwe ni bulldozers, excavators, cranes, graders, loaders, compactors, scrapers, trenchers, roller, cold planers, backhoes, heavy duty trucks migodini.
Ijapokuwa bado akina CAT, Komatsu na wenzake wapo ila sio kivile kama miaka ya zamani.
Na hawa jamaa wanafanya kupindua meza worldwide. China kwa sasa wamekuwa top exporter wa heavy machines ikifuatiwa na Japan na Marekani.
Miaka 20 iliyopita ulipokuwa ukizungumzia heavy machines kwenye soko la dunia ulikuwa unazungumzia brands za Marekani, Japan na Ulaya
China kwa sasa wana dunia yao si tu kwenye global market share sales ya heavy machines ila pia wana brands nyingi kuliko taifa lingine lolote.
Wanawezaje kwa kipindi kifupi ku-outcompete wengine?