ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,316
- 50,522
Unaitwa madrak ni mmea wenye maajabu sana kwanza unafanana na sura ya mtu halafu ukiwa unaukata unalia kama mtoto unatoa sauti kabisa huu mti una maajabu mengi na una sumu inayoweza kukua wanautimia sana kwenye mambo ya kichawi chawi.