Ufahamu kuhusu huduma ya lipa kwa namba

Azizi Walter

JF-Expert Member
Mar 18, 2015
221
139
Habari wanajamii, kuna hii huduma ya lipa kwa namba, mwenye ufahamu naomba anifahamishe jinsi ya kuzipata zile line za lipa hapa na mwenye nazo anafaidika nazo vipi mteja pale anapolipia?

Ahsanteni sana, kwa mwenye ufahamu zaidi naomba ani pm.
 
Hapa huwezi kupata habari za kutosha, omba upewe pm, maana zimeshika maisha ya watu hivyo hawawezi ķutoa siri za kambi hadharani
 
Ni huduma ya kibiashara ya kulipia Manunuzi kwenda kwa Muuzaji.

Mm natumia huduma ya LIPA NAMBA ya Tigo, kwa siku 1 kutoa PESA ×1 kwa WAKALA ni bure, kwa kiasi chochote. Ukitoa ×2 na kuendelea, wanakata!

Kwa Mteja anaefanya Manunuzi, ni bora na anapata unafuu kulipa kwa Namba kuliko kutoa pesa kwa wakala kisha afanye Manunuzi!

Pia huduma ya LIPA Namba inaruhusu kuhamisha pesa kutoka Kwenye lipa namba yako kwenda BANK
 
Shukran sana nimepata mwanga
 
Tigo Siyo bure Kama pesa imezidi 400,000

Nakatwa mpaka 8,000

Mpango mzima ni m-pesa unatoa kiwango chochote bila makato
 
Je mlipaji anaweza kurudisha muamala kama ilivyo kwny mpesa au airtel money?

Yaan anakutumia, ile umepata sms yy anaingia kwny menu afu anarudisha muamala kwany smu yake
 
Tigo Siyo bure Kama pesa imezidi 400,000

Nakatwa mpaka 8,000

Mpango mzima ni m-pesa unatoa kiwango chochote bila makato
Hawachelewi kuigana hawa. Muda sio mrefu na voda nao wataanza kukata
 
Wakuu naomba kuuliza jinsi ya kutoa fedha kwenye akaunti ya lipa ya Airtel.
 
Back
Top Bottom