Ufafanuzi kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne

KabudiMasta

Member
Nov 30, 2024
10
9
Kwema wana JF,

Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa cheti cha kurudia kinakuaje!
 
Zinakuepo kivipi.? Sio kwamba anapewa cheti kingine chenye matokeo mapya
Kwema wana JF,

Nilikuwa nahitaji kujua kwa wale waliowahi kurudia mtihani wa kidato cha nne, nilimaliza 2018 nikapata C mbili na D moja, hivyo nataka kurudia masomo matano pamoja na hilo nililopata D, sasa swali langu ni kwamba nikirudia cheti kikitoka kitakua na zile C zangu mbili? Au mfumo wa cheti cha kurudia kinakuaje!
Necta wanatoa cheti kwa masomo uliyoyafanyia mtihani

Mfano. Ufanye mitihani 3 alafu cheti kiwe na matokeo ya mitihani 5? Hio haipo.

Kama unataka cheti kimoja kikamilifu, rudia masomo yote.
 
Back
Top Bottom