Bams
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 18,769
- 47,337
Kua watu hawaelewi mamlaka ya mahakama hii ya ICC. Wanadhani kwamba ili ushtakiwe kwenye mahakama hii ya ICC ni lazima nchi yake iwe mwanachama. Jambo ambalo siyo kweli.
Mahakama hii ina uwezo wa kumhukumu mtu yeyote aliyetenda uovu unaoangukia kwenye makosa ambayo mahakama hii inashughulika nayo.
Jambo pekee ambalo nchi ambayo si mwanachama halimhusu ni kutekeleza maagizo ya hii mahakama. Mambo hayo ni pamoja na kumkamata mtuhumiwa. Ifahamike kuwa anayeshtakiwa huwa ni mtu, na siyo nchi. Ni sawa leo hii aingie mrundi nchini, aue raia. Akiwa hapa nchini tutamkamata, au akiwa kwenye nchi ambayo tuna makubaliano ya kupeana wahalifu, ataletwa nchini, na tutamhukumu kwa sheria zetu, bila ya kujali Burundi itasema nini.
Kwa ile Arrest warrant iliyotolewa, maana yake yale mataifa 123 wanachama, yanawajibika kumkamata Putin akiwa kwenye mataifa yao na kumfikisha kwenye mahakama ya the Hague. Lakini nchi ya Russia yenyewe au nchi yoyote ambayo siyo mwanachama wa ICC hayahusiki kwa namna yoyote ile kumkamata Putin hata akiwa nchini mwao.
Hata hivyo, hata kwa yale mataifa wanachama, japo yanawajibika kumkamata Putin akiwa kwenye mataifa yao, lakini hayalazimiki.
Hii Arrest warrant, uwezekano mkubwa inaweza isifanye kazi, lakini inampunguzia uhuru Putin kwenda kutembelea Taifa lolote mwanachama wa ICC.
Ufafanuzi mwingine huu hapa:
Rome Statute signatories under obligation to arrest Putin: AJ correspondent
Al Jazeera’s James Bays, reporting from the United Nations, says the arrest warrant issued by the ICC against Putin means the 123 countries that have ratified the Rome Statute are now under an obligation to arrest the Russian president and transfer him to The Hague for trial if he sets foot in their territory.
However, Bays said, former Sudanese President Omar al-Bashir, who also had an arrest warrant issued against him by the ICC, was still able to travel because some countries refused to act on it.
He added that the ICC’s decision to take action against Putin, “one of the world’s most powerful men”, took “everyone in the international community by surprise”.
“There are questions around what this means for diplomacy,” Bays said, including for potential peace talks to bring the war in Ukraine to an end.