RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,737
- 4,303
Nafasi ya Mwenyekiti kwamba inaitwa Mwenyekiti wa maisha hata makamu anachagua yeye yale mnayoyaona ni kiini macho kuwa kuna DEMOKRASIA.
Na kwamba ni kijana wa CCM, yale makelele mkiona anaanza ujue asali inakuwa haijamfikia, akishalamba analala usingizi wa pono.
Pia soma: Aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Kanda ya Nyasa, Mchungaji Peter Msigwa ahamia CCM
CCM wamemuweka pale Mbowe kuonesha kuwa Tanzania kuna upinzani lakini kwa mtu anayefuatilia siasa za nchi hii Tanzania hatuna vyama vya upinzani bali tuna vyama AMBAVYO ni vivuli vya CCM.