Udhibiti na maandalizi ya COVID 19 Tanzania viwanda vifanye nini?

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
36,078
29,648
Ni muhimu sekta ya viwanda nchini hasa vile vya nguo vikaja na mpango kazi maalumu wa kuzalisha PPEs haswa masks za N95 ,COVERALL GOWNS ,BOOTS,GOGGLES,N.K
 
Viwanda vya madawa vitengeneze Chloroquine kwa wingi ili mlipuko utapozagaa duniani dawa iweze kusambazwa
 
Wazo Zuri, Serikali ilipaswa haraka itoe fungu zitengenezwe sanitizers za kutosha na zigawiwe bure kwa wananchi..

Yale Magari ya washawasha ya polisi yako mengi sana, inaweza kufanyika quick engineering design kwenye tank zake na pumps yakaanza kupita mitaani kumwagilia dawa..
 
Back
Top Bottom