Kama bunge litaendelea kujisahau na kuangalia maslahi ya matumbo badala ya maslahi ya taifa, basi ni ukweli usiopingika kuwa nchi itaongozwa na kauli za watu wawili na hata hawa wabunge kazi yao itakuwa kupata mshahara na marupurupu siyo kuisimamia serikali tena. Count me