K Kajuna robert New Member Feb 24, 2013 1 0 Feb 23, 2016 #1 Mafunzo ya udereva veta Yanachukua mda gani na ni shingapi? Short course
Patience123 JF-Expert Member Mar 10, 2013 5,092 8,779 Feb 23, 2016 #2 Kama chuo kiko karibu ni vema uende mwenyewe ukaulize,itakuwa ni fursa pia ya kuwahoji kila utakalohitaji. Kuna chuo kimesajiliwa na veta na NIT. ada ni Tsh.270,000/= Kozi ni mwezi mmoja,wastani wa mafunzo ni 20 days.
Kama chuo kiko karibu ni vema uende mwenyewe ukaulize,itakuwa ni fursa pia ya kuwahoji kila utakalohitaji. Kuna chuo kimesajiliwa na veta na NIT. ada ni Tsh.270,000/= Kozi ni mwezi mmoja,wastani wa mafunzo ni 20 days.
Mwanamaji JF-Expert Member Apr 20, 2013 2,904 4,513 Feb 24, 2016 #3 Kajuna robert said: Mafunzo ya udereva veta Yanachukua mda gani na ni shingapi? Short course Click to expand... VETA bei yao ni 150,000/=. Mafunzo ni ya wiki tano.
Kajuna robert said: Mafunzo ya udereva veta Yanachukua mda gani na ni shingapi? Short course Click to expand... VETA bei yao ni 150,000/=. Mafunzo ni ya wiki tano.
malimingiii JF-Expert Member Nov 20, 2013 967 1,334 Feb 24, 2016 #4 Mi nimemlipia dogo juz ni 195,000 mwezi mmoja