Ndugu , Nimependa udadisi wako, Ila napata wasiwasi ulivyotumia neno "kutisha". Kumbuka hii ni Vita ya Kiimani, na imani maana yake ni kuamini jambo Fulani na kulisimamia, kuliendeleza na kulitekeleza. .
Ugaidi ni mfumo wa kulenga mabadiliko ya kisiasa kwa kutisha watu kwa njia ya vurugu au mauaji. Matendo ya kigaidi yanatisha kwa sababu watu wanajeruhiwa au kuuawa. Watendaji wa ugaidi kwa kawaida ni vikundi au watu wasio na cheo au nafasi rasmi.
Mara nyingi si rahisi kutofautisha kati ya magaidi, wapinzani wa uhuru au watu wanaoendesha vita ya msituni. Hata jeshi rasmi za serikali zinaweza kutumia mbinu za kigaidi lakini kwa kawaida hawahesabiwi kati ya magaidi.
Ndugu, ni kweli ni malengo ya kisiasa kama ulivyoandika (sikatai). Kumbuka siasa ni katiba, au kwa maana nyingine siasa ni uraia. Kwahiyo bado unaelezea kitu kile kile kwamba , Rushwa ikishamiri kwa Raia basi tatizo hilo (Ugaidi) litaondoa Usalama wa Taifa na wa vitu/viumbe vyote vilivyomo ndani ya Taifa.nimalengo ya kisiasa. vitu kama dini naimani vinaweza kutumika kama dhana za kutekeleza matakwa hayo. vitisho pia ni dhana kuu inayotumika sambamba na udini ikichanganywa katika dozi maalumu kutegemea na eneo husika
Rushwa ndio msingi wa mambo Haya yote. Namaanisha, Taifa lolote ni rahisi sana kubomoka iwapo wenyeji (wala rushwa ) watashirikiana na wageni. Hapa utaona viongozi wanakuwa wanawadharau wenyeji na kuwathamini wageni kupita kiasi.Marekani,Urusi,China,Nchi zote za Ulaya mashariki zimepata maendeleo baada ya ugaidi wa kuondoa tawala dhalimu
kwewnye RED. kitendo cha gaidi kujilipua na kusababisha maangamizi. HAPO WANASHINIKIZA MATAKWA YAO KWA KUTUMIA DHANA YA kutisha uongozi kwa milipuko, hujaona tu hiyo dhana.Ndugu, ni kweli ni malengo ya kisiasa kama ulivyoandika (sikatai). Kumbuka siasa ni katiba, au kwa maana nyingine siasa ni uraia. Kwahiyo bado unaelezea kitu kile kile kwamba , Rushwa ikishamiri kwa Raia basi tatizo hilo (Ugaidi) litaondoa Usalama wa Taifa na wa vitu/viumbe vyote vilivyomo ndani ya Taifa.
Magaidi hawana vitisho; wakisema jambo - elewa kuwa lazima watateleleza. Watu waliko makini mara nyingi huwa wepesi kuwasikiliza na kuyafanyia Kazi matamko yako pasipo kuathiri Mazingira yao , Mali na Raia wao.
Wasio kuwa makini, husubiri mpaka janga litokee ndipo wanaanza kutumia Ujuzi (Knowledge) bila Uelewa.
Ndio maana utaona , mpaka leo hii, njia zinazotumika kukabilina na Magaidi ni zile zile kwasababu ya kukuosekana Uelewa.
Suala kubwa la kujiuliza hapo ni hili:- Kwanini Magaidi hawapendi kuuliwa na wanawake? Ila wanapenda kuuliwa na wanamme?kwewnye RED. kitendo cha gaidi kujilipua na kusababisha maangamizi. HAPO WANASHINIKIZA MATAKWA YAO KWA KUTUMIA DHANA YA kutisha uongozi kwa milipuko, hujaona tu hiyo dhana.
tena watasema msipofuata matakwa yao wataendelea. hapo kitisho kimetumika pia
Kujilipua kwa magaidi ni kama shilingi yenye pande mbilli. Upande mmoja umeuzungumzia wewe na mwingine umezungumziwa na mcharo. Milipuko husababisha vifo vya raia wasio na hatia na wale wanaoonekana kua wanyonge sana kwenye jamii kama wanawake na watoto wasio weza kujilinda au kujitetea dhidi ya hayo mashambulizi. Na ukijumlisha na ile hali ya kutisha ya maeneo ya matukio ya mashambulizi ya kigahidi ( kuwagika damu, kusambaratishwa kwa viungo mbalimbali vya binadamu nk ) ni silaha tosha sana ya kisaikolojia kupitia vitisho ambayo unabeba dhana mbiliSuala kubwa la kujiuliza hapo ni hili:- Kwanini Magaidi hawapendi kuuliwa na wanawake? Ila wanapenda kuuliwa na wanamme?
Kiufupi, kama ulikuwa huelewi, Magaidi kifo kwao ni kama gain. Wakiuwa watu wengi ndio Furaha kwao.
Ni sawa na Mchungaji kumshawishi MTU aachane na Uovu ( Hii ni Furaha kwake , anaona kaokoa uhai wa MTU) ; jinsi anavyokuwa anaokoa watu wengi ndio Furaha kwake na kwa Mungu pia. Magaidi hufanya kinyume chake.
Kwahiyo, sio vitisho! Ni imani. Na
Hakika, nakwambia kweli, ni watu wachache sana wanaouelewa Ugaidi.
Ndugu, Ugaidi ni dini ya kimwili (hisia) sio ya kiuelewa. Kumbuka, dini yeyote inayoendeshwa kwa hisia lazima iendeshwe kwa matamanio, Ushawishi, shiriki, majivuno n.kKujilipua kwa magaidi ni kama shilingi yenye pande mbilli. Upande mmoja umeuzungumzia wewe na mwingine umezungumziwa na mcharo. Milipuko husababisha vifo vya raia wasio na hatia na wale wanaoonekana kua wanyonge sana kwenye jamii kama wanawake na watoto wasio weza kujilinda au kujitetea dhidi ya hayo mashambulizi. Na ukijumlisha na ile hali ya kutisha ya maeneo ya matukio ya mashambulizi ya kigahidi ( kuwagika damu, kusambaratishwa kwa viungo mbalimbali vya binadamu nk ) ni silaha tosha sana ya kisaikolojia kupitia vitisho ambayo unabeba dhana mbili
1. Wanahitaji matakwa yao yatimizwe haraka sana, ama la sivyo basi wategemee mashambulizi / matukio mengi zaidi ya namna hiyo.
2. Wanaaambia raia kua, hakuna ambaye yupo salama dhidi ya mashambulizi yao ( kwa kuwaua wakina mama na watoto ambao hawana hatia ) wanajaribu kuonyesha kua hawajali nani atakayekufa, wao wanathamini matakwa yao tu
Ndugu, Ugaidi ni dini ya kimwili (hisia) sio ya kiuelewa. Kumbuka, dini yeyote inayoendeshwa kwa hisia lazima iendeshwe kwa matamanio, Ushawishi, shiriki, majivuno n.k
Jinsi unavyoona baadhi ya wachungaji feki wakijinadi kuwa ukienda kwao wanakuombea na unafanikiwa nakuwa Billionaire, - ni sawa na Magaidi wanavyofanya, . Watu hawa wote lengo lao ni moja, wajulikane haraka , waogopwe, wajilimbikizie Mali, n.k ; Na mara nyingi hutumia nguvu nyingi sana, wengine hufanya advertisement nyingi sana kushawishi watu!
Ni vyema ukalitizama suala hili kwa njia hii.
Nimefurahi kuona neno " waogopwe" kwenye comment yako, ukilitaja kama miongoni mwa malengo yao. Nadhani milipuko inakaa vzur kabisa kwenye suala la kuogopwaNdugu, Ugaidi ni dini ya kimwili (hisia) sio ya kiuelewa. Kumbuka, dini yeyote inayoendeshwa kwa hisia lazima iendeshwe kwa matamanio, Ushawishi, shiriki, majivuno n.k
Jinsi unavyoona baadhi ya wachungaji feki wakijinadi kuwa ukienda kwao wanakuombea na unafanikiwa nakuwa Billionaire, - ni sawa na Magaidi wanavyofanya, . Watu hawa wote lengo lao ni moja, wajulikane haraka , waogopwe, wajilimbikizie Mali, n.k ; Na mara nyingi hutumia nguvu nyingi sana, wengine hufanya advertisement nyingi sana kushawishi watu!
Ni vyema ukalitizama suala hili kwa njia hii.
Ndugu wana jamvi,
Habari zenu!
Napenda kuchukua fursa hii kuelezea machache kuhusu suala la Ugaidi Tanzania; Lakini pia, kushirikiana nanyi kimawazo/kulidadisi suala hili ili kulifanya Taifa letu kuwa salama wakati wote.
Ninavyoelewa Mimi, Ugaidi ni Vita ya Kiimani, yaani Imani potofu au kwa maana nyingine Elimu potofu.
Ni watu wachache sana wenye uelewa ( imani endelevu) kuwa , nyakati tulizonazo sasa ni nyakati za hatari. Namaanisha , kukithiri kwa rushwa ( Upotoshaji) kumewaathiri watu wengi katika mataifa mbalimbali ikiwemo TANZANIA.
Rushwa imewafanya watu wengi kutofikiri sawa sawa, kukosa maono, kukosa namna ya kutatua CHANGAMOTO zinazowazunguka katika misingi ya Haki, Demokrasia na Maendeleo. Tatizo hili lipo kwa Wananchi wengi na hata kwa viongozi wengi wa Serikali /Taasisi binafsi.
Tatizo la Rushwa pia limesabisha kuwepo kwa Familia Ovu, Jamii Ovu na Taifa lililojaa mawingu meusi yenye giza Kali ( Mawingu Haya ndio yanatufanya tuendelee kukaa na kutembea kizani wakati wote, huku tukijiaminisha kuwa tupo salama)
Mbaya zaidi, kutokana na Rushwa kushamiri, Taifa letu limekuwa likiwaamini sana watu wenye Ujuzi (Knowledge) na kuwapuuza wale wenye Uelewa (Understanding).Hii imesababisha kuendelea kuwepo kwa migogoro mingi na kujirudiarudia kwa matatizo mbalimbali.
Nikiwa na maana ya kwamba, viongozi wenye Ujuzi mara nyingi husuhurisha migogoro kwa muda mchache tu (na kisha migogoro hiyo kujirudia) lakini sio permanently kama ilivyo kwa wale wenye uelewa.
Nataka kusema kwamba, kutokana na hali tuliyonayo hivi sasa ( ya maasi kuongezeka) ulimwenguni kote , ni vyema sasa , Serikali ikawatizama watu wenye maono na wenye Uelewa mpana kuhusu masuala mbali mbali ili kulinusuru Taifa letu katika kadhia hii ya kigaidi inayoweza kujidhihirisha wakati wowote kuanzia sasa katika Taifa letu.
Ni vigumu sana kuliondoa tatizo la Ugaidi kama likijidhihirisha katika Taifa letu. Viongozi na Wananchi wote kwa ujumla wanapaswa kutambua kwamba , kuilinda, kuitunza na kuiendeleza Amani, Umoja na Mshikamano ni gharama sio lelemama kama ilivyozoeleka.
Tunahitaji kushirikiana na vyombo vya usalama kuhakikisha Taifa letu linakuwa salama wakati wote.Ni wakati pia, vyombo vya Usalama kuvichukulia hatua vyombo vyote dini na vya habari vinavyohamasisha tabia za kigaidi.
Elimu pia ni muhimu ikatolewa kwani fikra za watu wengi ulimwenguni (wakiwemo watanzania) wanatambua kuwa Ugaidi ni Uislamu , ili hali ukweli sio hivyo.
Vyombo vya Usalama vinapaswa kutambua kwamba, kadhia hii kama ikijidhihirisha katika Taifa letu, itakuwa ya Hatari sana ukizingatia, masuala ya udini kuongelewa chini chini yameshamiri ( sasa ni dhahiri kwamba waislamu wanaona kama wanaonewa na kutopewa kipaumbele katika masuala mbalimbali) ; Minong'ono hii ni lazima ifanyiwe kazi na kukemewa mapema ili kuondoa chuki, hasira na ubaguzi.
Uelewa ni Silaha pekee itakayoweza kuilinda,kuisimamia na kuiendeleza Tanzania. Elimu ni Uelewa. Ni lazima sote kwa pamoja kwa kushirikiana kuipiga Vita Rushwa katika nyanja zote kwani Rushwa ni Adui wa Uelewa ( Elimu). Rushwa ni Ujinga, Rushwa ni Upumbavu, Rushwa ni Ulofa, Rushwa ni Ugaidi, Rushwa ni Ushoga, Rushwa ni Ufisadi, Rushwa ni Nkurunzinza, Rushwa ni Umalaya , Rushwa ni Adui wa Haki, Demokrasia na Maendeleo!
Asanteni Sana.
MUNGU IBARIKI AFRIKA , MUNGU IBARIKI TANZANIA
Hapana Ndugu, simaanishi kwasababu nimeona matukio ya Pemba. Suala hili ni janga la kiulimwengu. Katika Taifa leo dalili za matukio ya kigaidi zimekuwepo kwa zaidi ya miaka 25 ; na siku zinavyokwenda linazidi kukuwa.Unaposema ugaidi nadhani ina maana kwamba una hofu kule Pemba watu watayarushia mawe yale matank,vifaru. Mambo kama hayo hayana faida. People should be discouraged from doing such things.
Hili nimeliona mara nyingi. Kiufupi huwa nayaona matukio haya mara kwa mara. Hata matukio yale ya Morogoro ( watu 9) , Arusha, niliyaona kabla. Huwa naugua Moyo sana kuona watu wamelipuliwa nikiwa kwenye ndoto."ili kulinusuru Taifa letu katika kadhia hii ya kigaidi inayoweza kujidhihirisha wakati wowote kuanzia sasa katika Taifa letu."
Mkuu haya maneno yako yamenitisha ,kuna sehemu nilisoma ushuhuda wako humu jamii forum mlipokua mnaongelea mambo ya dini na jinsi ulivyo jipambanua juu ya utashi uliopewa na Mungu ,hili pia umeliona ??
Udini sio unaongelewa tu chinichini ni wazi kabisa sasa hivi viongozi wetu watumie busara tu kuona namna ya kutatua hili tatizo
Hili nimeliona mara nyingi. Kiufupi huwa nayaona matukio haya mara kwa mara. Hata matukio yale ya Morogoro ( watu 9) , Arusha, niliyaona kabla. Huwa naugua Moyo sana kuona watu wamelipuliwa nikiwa kwenye ndoto.
Ndugu, ulichoandika ni kitu kile kile, sema labda hujaelewa maana ya neno imani.Pamoja na yote but ugaidi si imani pekee hata Madaktari waliyogoma na wagonywa wa kafa ni ugaidi. Ugaidi ni kitendo cha kuua kwa kusudia ili kushinikiza jambo. But hulka ya ubinafsi ni ya kila binadamu