Uchomaji wa kadi za CCM

Nyingi ya hizo kadi zimechomwa kwenye nyoyo za raia wa nchi ya ahadi,watabainisha hasira zao miaka 3 na miezi minane ijayo.
Hakuna neno la huruma litakaloweza kubadili msimamo,hatatokea kama ambavyo hajatokea kiongozi yeyote wa kiimani atakaesikilizwa,ni HAPANA TU itatumika.
 
Vipi, ile operesheni choma kadi za uanachama wa CCM imefikia/ imeishia wapi?

Ni kadi ngapi zilichomwa?

Naona kalikuwa ni kaupepo tu ambako kameshapita na kwenda zake huko


Hahaha!!! Sasa hivi zinachomwa za.chadema uwongo umezidi ben yupo wapi,dola mill 15 za wafadhili zipo wapi .
 
Matukio ya akili ndogo huko Instagram toka lini yakadumu?
Hahahahah

Unawapa za uso

Tatizo hii nchi utoto ni mwingi sana.

Watu wengine ni Uni graduate lakini wamemkabidhi Mange akili zao. Inasikitisha sana kama taifa la kesho.

Angalia kwa sasa hii hoja ya njaa. Kelele nyingi utadhani Tanzania imefikia kiwango cha baa la njaa lililoikumba Ethiopia.

Baada ya muda hizi kelele zinapotea na watakuja na kelele zingine baada ya kupata kipigo kwenye uchaguzi mdogo.
 
Hahahaaa hili la njaa nalo bana...

Hao wanaolialia eti kuna njaa hebu jaribu kuuliza nani kati yao hajala leo na hutompata hata mmoja.

Tena wengine na mijitambi yao unawakuta huku kwenye mitandao wakidai eti kuna njaa.

Toka lini kwenye njaa ukakuta watu wana mijitambi?

Watu wazushi mno aisee.

Na chuki zao kwa Magu ndo zinawafanya wawe maju.ha kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…