Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 3,715
- 11,379
Nitashangaa hadi leo kama bado tutaendelea kufanya debate kuhusu uwepo wa uchawi.
Wengi tuna downplay uwepo wa uchawi sio kuwa tuna uhakika kuwa haupo ila basi tu tujioneshe wenye status ya usasa na umjini mjini ila ukweli ni kuwa yajatukuta ya kutukuta.
Uchawi sio stori za kufikirika, uchawi ni ustadi ila ni ustadi usio kuwa na faida chanya at the longterm.
Una faida ambazo utashibisha malengo yako yenye asili ya ubaya,
Una faida ambayo utashibisha hamu yako ila katika gharama ya ubaya.
Uchawi ni rafiki ya hila, wivu, fitna, kisasi, uvivu, tamaa, hofu na uchoyo.
Ndio maana hadi leo uchawi huu haujawahi kumfanya mwafrika kuwa na generational wealth kwa maana asili ya uchawi sio kuboresha bali ni kubomoa na hata kama ukiboresha unakuja na gharama ya ubomoaji.
Uchawi ni code ya kiroho, ndio maana ukifanyiwa uchawi, unaweza ukajinasua kwa ku-crack hio code kiroho.
Soma Pia: Nguvu na maajabu ya uchawi