Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,367
- 29,211
Salaam wakuu
Baada ya kukosa kuangalia mechi ya Jana sababu Nilikuwa kwenye ndege kutoka Pretoria kuja bongo Leo nimeangalia marudio na kuona yafuatayo
Kuhusu kuwapa nafasi wazawa ni jambo la kiufundi zaidi ...Kwani wazawa wanajua pressure ya mchezo kuliko wageni
_ Mechi ilikuwa very
watanzania wameinjoy soka safi, matumizi ya nguvu + akili Kwa timu zote mbili ...kiasi Kwamba kama zingeongezwa dk 10 basi Yanga wangefungwa
_ Tumeshuhudia mwamuzi wa viwango siyo wale wa makolo wanatoa penalty hovyo....mwamuzi kasimamia Sheria 17
_ mechi ya Jana ilikuwa ni ngumu kuliko hata kariakoo derby kama unabisha nutakupa facts za kiuchambuzi
NB wanaolalamikia GSM Jana mbna
Fatima Dewji ndiye mjumbe ya bodi ya wakurugenzi wa Singida Black stars, GSM Kaingiaje tena hapo?

Me sijawahi kuona Kolo mwenye fact za kubishana na mimi
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app