Uchaguzi wa wanafunzi kidato cha tano na vyuo ni kilio kwa wazazi masikini

Zogoo da khama

JF-Expert Member
May 20, 2013
627
589
UCHAGUZI WA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO NA VYUO NI KILIO KWA WAZAZI MASIKINI

na Mwl Matete

Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi (Private) kidato cha Tano:

1.Miaka yote tangu Uhuru na hata kabla Uhuru uchaguzi wa wanafunzi serikali hutumia selform ambao hujazwa na wanafunzi wenyewe kabla au baada ya kumaliza kidato cha NNE kwa kuangalia muenendo wa mtihani alivofanya. Mara nyingi wanafunzi hujaza hizi form kwa ushauri wa wazazi na walimu.
- Kwenye selform mwanafunzi huchagua tahasusi na vyuo anavyopenda yeye na wanaochagua hutumia machaguo ya mwanafunzi husika. Mwaka huu mambo hayakuwa hivo. Mtoto amefaulu PCB au PCM vizuri tu lkn anachaguliwa HKL kweli? (Mtasema shule za sayansi ni chache)

Lakini haiji akilini mtu amefaulu kwa Chemistry - A, Geography- B na Biology - B lakini anapelekwa kusoma HKL aliopata C-C-C. au amefaulu vizuri HGL lakini anapelekwa kusoma Computer, Physics na Mathematics. Aliomba hio?

2. Kituko kilikuwa kwa wale waliofaulu kwa Division one lakini unapangiwa kusoma Record Management na haukuiomba. Yupo kijana ana Division one points 14 lakini anapangiwa kusoma Hotel Management Singida. Hivi mimi mzazi tulikubaliana na wewe ulioko ofisini hapo Dodoma nataka mwanangu asome uhudumu wa Hoteli?

Mmoja ana Division I.16 amepangiwa kusoma certificate ya Community Development - Tengeru. Mliongea na mzazi wa huyu mwanafunzi akasema anataka mwanae asome maendeleo ya jamii?

Sio kwamba nabeza fani zingine LA hasha Bali kila MTU asomee anachokitaka, mi mwanangu ana kipaji cha kuchora anataka awe msanii wa uchoraji kama Masuod Kipanya na nimejaza selform, wewe unamlazimisha akasome mifugo au Record management kwa nini? Kisa uko ofisini unaamua wewe

- Nimesikitika kuona mwanafunzi mmoja amevaa mabango mengi mwili akilia amepata Div.I-14 amepangiwa kusoma Hotel Management - Bagamoyo

KINACHOONEKANA KWENYE HALI HII

1. Serikali imeona wanafunzi hawaendi kwenye vyuo vyao ambavyo hawatoi ajira na vyuo vingi vinakufa kwa kukosa wanafunzi sasa kilichopo ni kulazimisha wanafunzi waende kwa nguvu

2. Ile tabia ya TCU kula na vyuo vikuu hasa private kuwapangia wanafunzi inahamia vyuo vya kati imeanza baada ya chuma kuondoka. Mwendazake alikataa hii tabia (RUSHWAAAA), aliruhusu kila mwanafunzi asome chuo anachotaka na fani anayopenda! Sasa hivi tunalazimisha wanafunzi wakasomee Hotel Management!!!!

3. Inaonekana vyuo vya kati vimeomba vipewe wanafunzi moja kwa moja kutoka wizarani bila kujali vipaji vya wanafunzi, lengo lao ni kuwa na wanafunzi wengi ili wapate capitation. Wakufunzi wanajali pesa kwa kuuwa vipaji vya watoto wetu. Wizara nao kujali pesa ya asante wanawateketeza watoto wetu

4. Hii ni mbinu chafu ya kuwatengenezea shule binafsi pesa. Tunalazimishwa kwa nguvu kuwapeleka watoto wetu shule binafsi kusoma kidato cha tano. Kwasababu haiwezekani mtoto amesota sana kusoma na kupata Div.I-12 unamwambia akasome Ualimu wa Chekechea - Kasulu TC kisa Mkuu wa chuo kasoma na waziri wa ......

Wazazi wasio na uwezo watawapeleka watoto wao hizo Private zenu mnazozitengenezea soko?

Mzazi wa kutoka Machochwe, Buzilayombo au Kibanchabancha atasomesha mwanae kwenye shule zenu mlizojenga kama Feza, Mosabe, St. Francis nk?

My take

1. Tunataka Uhuru wa Elimu, kila mwanafunzi asome anachokitaka, akuze talanta yake aliopewa na mungu sio kulazimishwa kisa kujaza vyuo.

2. Mhe. Waziri Mkuu we ni Mwalimu mwenzetu hili lisikushinde tusaidie wazazi masikini tunaotaka watoto wasome wanachokitaka na kukipenda sio anachokitaka Mkuu wa chuo cha utalii - Singida

3. Mhe Prof Ndalichako hizi self form wanazojaza wanafunzi ni za nini? Kazi zake ni nini.... Au mliiga kutoka kwa wakoloni bila kujua kuzitumia?
Tutumie selform.

SAMBAZA HII MPAKA AISOME MAMA.....SISI NI WATOTO WA MAMA

NAMUAMINI ATATUSAIDIA

+255 752761116
 
Ulipuaji kazi na kuwahi kutoa selections kwa haraka bila kuzingatia ubora,nashauri MACHAGUO YARUDIWE
 
Lengo ni kutafutia soko shule binafsi, wengi wasioridhika watajiingiza huko.... hizo ni shule za wenyewe.
 
UCHAGUZI WA WANAFAUNZI KIDATO CHA TANO NA VYUO NI KILIO KWA WAZAZI MASIKINI

Jibu ni moja tu lililo kuu ni kwamba wanafunzi wameielemea miundo mbinu, tunazaana sana kuliko miundo mbinu iliyopo.
 
NAMUAMI upNI ATATUSAIDIA

+255 752761116
Sio isambazwe akaisome kaburini uyo unaemuita CHUMA?!

eti mkuu?!!!!.
 
Hiki kinachofanyika sio sawa, hv tamisemi kuna nn mbona kila waziri panamshinda. Nashauri awamu hii ivunje hii wizara
 
Ili tutoke tulipo inabidi kubadili ufikiri wetu kuhusu elimu ningekua.mzazi hata angekua na one ya 7 ngempeleka alipopangiwa ....

Wazazi waelewa washaachana na michongo ya advance
 
Back
Top Bottom