LGE2024 Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,800
4,005
Ndio maoni yangu. Uchaguzi huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita.

Kama ahueni yoyote itatokea, labda itakuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Lakini mwaka huu unaweza kuleta matatizo. Kwanza wananchi wamekaribishwa kujiandikisha kupiga kura, wamekataa.

Ina maana wako tayari jambo lolote litokee .
 
Back
Top Bottom