didy muhenga
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 832
- 1,422
Leo mnamo tarehe 3/5/2024 ni siku amabayo uchaguzi wa chuo kikuu ardhi ulipaswa kufanyika kulingana na almanac ya chuo na taarifa hio wamafunzi wote walikua nayo na wagombea walijipanga kwa ajili ya sku hio.
Jambo la ajabu na kusikitisha ni kwamba eti leo asubuhi ilitoka taarifa kua uchaguzi umepelekwa mbele hadi mchana, ilipofika mchana ikatoka taarifa kua uchaguzi umeghairishwa mpaka jumatatu kwa sababu ya kwamba ety majina ya wanafunzi hayaonekani kweny daftari la tume ya uchaguzi.
Hii ni aibu kubwa sana kwa chuo chetu na nchi kiujumla ety uchaguzi unaighairishwa kisa majina hayajaprintiwa.Na tuna tume kabsa ya uchaguzi ina watu kabisa yaan ni jambo la ajabu kuwahi kutokea ni mfifisho wa demokrasia na uwepo wa dalili ya kuwepo kwa upangaji wa matokeo.
Kwanza moja ya sifa mtu kugombea urais lazima mtu awe of good conduct Lakini kuna mgombea mmoja alimtukana mwanafunz mwenzake matusi ya nguoni kabsa na ushahid ukapelekwa na kesi ikaenda hadi polisi lakini bado jamaa akapitishwa bila sababu kwa maan tu mwenyekiti wa tume yupo upande wake yaan spika, Spika ambaye aliulizwa nini maan ya good conduct alikua hajui na bado akaulizwa characteristics of good leadership akashindwa kutaja
na ety ndo kiongozi wa baade, it's a great shame.
Mwisho kabsa naomba ardhi university walisemee hili maana wapo vizuri kujibu kama ilivyotokea ile issue ya wale malachi waliofanyiana mtihan.