Tume Huru ya Uchaguzi ni vema ikatenda HAKI kwa asilimia mia moja. Iachane na makosa madogo madogo/ pingamizi kwa mfano.
(1) Mtu kukosea herufi ya jina lake au chochote kilichoandikwa kwenye fomu yake ya kugombea.
(2) Iachane na vyombo vya usalama vinavyotumia nguvu kubwa.
(3) Iachane na kuwatumia Watumishi wa umma katika uchaguzi huu na mwisho iachane na kuwaengua wakala wa vyama pinzani.
Naishauri Tume Huru kuwaajiri vijana wengi waliomaliza Vyuo mbalimbali na wapo mitaani kusimamia uchaguzi huu wa Oktoba, 2025.
Haki itendeke aliyeshinda atangazwe na kusiwe na figisufigisu wa aina yeyote ile.