Uchaguzi TLS 2024: Je, wanasheria pia wananunulika?

Rabbon

JF-Expert Member
Apr 16, 2022
20,910
32,671
Salaam, Shalom!

Kuna uvumi na tetesi zinaendelea kuwa wanasheria Toka Zanzibar ambao Wana chama Chao, kuwa wameletwa Dodoma na Serikali pia kupiga kura, wamelipiwa Kila kitu, Ili mtu wa Serikali ashinde.

Swali: je, wanasheria nao wanapokea RUSHWA?

Ikiwa Kweli wanasheria wananunulika, kwanini wananchi walaumiwe kupuuzia chaguzi zetu?

ANGALIZO: Tumewaalika Malaika kuwa waangalizi wa chaguzi zetu Ili dhuluma isitawale, RIP wakili aliyefariki kwenye ufunguzi.

Mungu ibariki Nchi yangu nzuri niipendayo TANZANIA 🇹🇿

KARIBU 🙏
 
Wanasheria ndio ununulika kwa sababu wengi wana njaa na hawana akili na pesa ya kuanzisha ofisi na kupata wateja , ila wanasheria hawanunuliki
 
wanaaheria ndio ununulika kwa sababu wengi wana njaa na hawana akili na pesa ya kuanzisha ofisi na kupata wateja , ila wanasheria hawanunuliki
Typing error, device inapokusaliti,

Unaandika wanasheria ,yenyewe unaandika inavyotaka yenyewe!!
 
NJAA HAINA ADABU! YEYOTE ANAWEZA KUNUNULIKA.

PROFESA KABUDI NA DK.GODWINI MOLLEL WALIKUWA WANAMUITA MAGUFULI ETI MHESHIMIWA MUNGU... NJAA MBAYA SANA UNAWEZA KUKUFURU KISA TUMBO NA WATOTO WAENDE CHOONI.
 
NJAA HAINA ADABU! YEYOTE ANAWEZA KUNUNULIKA.

PROFESA KABUDI NA DK.GODWINI MOLLEL WALIKUWA WANAMUITA MAGUFULI ETI MHESHIMIWA MUNGU... NJAA MBAYA SANA UNAWEZA KUKUFURU KISA TUMBO NA WATOTO WAENDE CHOONI.
Wanasheria wameniprove wrong,

Wameonyesha kuwa hawanunuliki!!

Hongera adv Mwabukusi!!
 
Back
Top Bottom