Tunaitwa Ubunifu Maridadi Foundation kutoka Songea, Ruvuma, Tanzania, Ni foundation ya Kibunifu yenyekujiendesha Yenyewe Ikiwa katika Faundation Yetu Ni bunifu hivyo lengo na dhamira ni kutafuta wabunifu wote Tanzania na kuwaweka pamoja,Lakin uwezo wa kulitimiza hilo kw vitendo ni mdogo hivyo hufanya kile kilicho ndani ya uwezo wetu ili kuyafikia malengo Makubwa zaidi, Ubunifu Maridadi Fondation tumeanza Na hii Kupitia kipaji cha mtunzi wa stori,script writer, na wengineo tukimaanisha kwamba vijana wenye juzi/fani mbalimbali
+255719072620 Facebookpage-ubunifu Maridadi, twitter-Ubunifu Maridadi, http://ubunifumaridadi.blogspot.com
Sapoti yenu muhimu katika kuhakikisha ndoto ya kila kijana mbunifu inatimia kupitia ubunifu wake
Ubunifu maridadi Foundation inausika na ubunifu na wabunifu mbali mbali, imejumuisha sanaa aina zote kikubwa mwana sanaa awe mbunifu kuleta kitu cha utofauti,
na hii ni cover ya movie ambayo moja ya vijana mwenye uwezo wa kutunga stor katunga na wenye vipaji ya kuigiza wameigiza ndani yake