Mr_Teacher
JF-Expert Member
- Feb 28, 2021
- 362
- 343
Habari wana bodi? Naomba kujua ubora wa vyuo vingi vya Uganda, hasa vya private ukoje? maana nlijarbu kutembelea website ya "TCU" ya kwao naona vyuo vingi vya private vina usajili wa muda (Provisional License to operate as University) je viko vizuri? maana kimtaan vina majina makubwa lakini usajili wake bado ni wa muda; mfano Cavendish University Uganda, International University of East Africa, Clarke University etc
asanteni
asanteni