Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,676
- 7,462
Kuna ubishani mwingine huwa nauita wa kijinga, na huwa naishia kucheka tu. Tangu mwanzo niliamini muda utaongea huko tuendako nani ni mkali haswaa; Stephano Aziz-Ki au Chama?
Huu ubishani wa kipuuzi ni sawa na Ile wa Messi na Ronaldo tu. Yaani Chama mwenye kipaji chake na akili ya soka, anayeuamuru mpira ufanye kile akitakacho kama Lionel Messi, awe wa kulinganishwa na Azizi? Tuseme watu ni wepesi wa kusahau au unazi?
Huyu Chama nimemwangalia sana tangu alipofika Simba, hasa kuanzia mechi ya Simba vs Nkana Red back then. Anafunga magoli ya akili sana, yasiyo ya kutumia nguvu nyingi, ambayo Aziz Ki hawezi kuyafunga. Na bado anatoa assists nyingi ambazo Aziz hawezi kuzifikia.
Hata baada ya leo mtaendelea kubisha? Mtakuwa na matatizo ya afya ya akili.