Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,490
- 96,053
Aliyekuwa Katibu mkuu wa CHADEMA mzee wetu amefichua kuwa wanaosema Mbowe ni mwenyekiti wa kudumu na kumshutumu basi wao ndiyo wachumia tumbo na wasiyo Itakia mema CHADEMA.
Wengi wao wanao msema Mbowe ni wanaccm. Unajiuliza hao wana CCM wanatoa wapi hiyo huruma kwa wana CHADEMA?
Mbowe ni tunu ya watanzania na ataendelea kuliongoza CHADEMA hadi pale wana CHADEMA tutakapoamua sasa kumpumzisha mwenyekiti wetu.
Msikilizeni mzee wetu Dkt. Slaa akitemwa cheche zake juu ya uimara wa Mbowe.