The Sheriff
JF-Expert Member
- Oct 10, 2019
- 746
- 2,095
Marekani inaungana na wale wanaotoa wito wa uchunguzi huru, wa uwazi, na wa haraka kuhusu utekaji unaoendelea na mauaji ya Ali Mohamed Kibao. Mauaji na kupotea kwa watu, pamoja na kukamatwa, kupigwa, na juhudi nyingine za kuwaengua raia katika uchaguzi zilizotokea mwezi uliopita, havipaswi kuwa na nafasi katika demokrasia. Vitendo hivi vya kikatili vinadhoofisha haki zinazohakikishwa na Katiba ya Tanzania. Tunatoa rambirambi zetu za dhati kwa familia ya Bwana Kibao na kwa taifa kwa kupoteza maisha yake na uongozi wake wa kiraia.
Pia soma:
Pia soma: