Jakomhabari
Member
- Jul 29, 2015
- 26
- 15
Uamuzi wa aina ya shule mzazi angependa kumpeleka mtoto wake, inatokana na sababu nyingi. Mimi kama mzazi, kwa uelewa wangu, niliamua kumpeleka mwanangu katika shule ya kimataifa ili apate elimu kwa ajili ya uelewa wa mambo mbalimbali ya kimataifa (education for international understanding).
Pamoja na hilo, napenda mwanagu aweze kujijengea uwezo wa kufanya kazi kwa kushirikiana na mtu yeyote kutoka popote pale duniani, pasipokujiona mnyonge mbele ya mgeni yeyote (appreciate working in harmony with anybody without feeling inferior before foreigners).
Ila kwa sasa niko njia panda!. Najiuliza kama nitaweza kutimiza malengo yangu. Nimekutana na kikwazo katika mashule yetu yanayojiita “Ya Kimataifa”. Kikwazo ni UBAGUZI WA RANGI.
Kunashule kongwe zaidi hapa nchini ya kimataifa, ambayo mimi nimempeleka mwanangu baada ya kuona watoto wa marafiki zangu na baadhi ya ndugu wamesoma na kuhitimu katika shule hiyo, baadaye wakawa wanapata nafasi ya kufanya kazi katika mashirika ya kimataifa.
Hata hivyo, hivi karibuni, kumetokea tabia chafu shuleni hapo ya baadhi ya wafanyakazi kuanza kupandikiza mbegu ya dhambi ya ubaguzi wa rangi (Racial discrimination). Kumekuwepo na tabia ya kuwaita wanafunzi kwa majina kama, "Negros, Mchina, Wazungu, Browns, Weusi, Waafrika, Wamarekani, Wahindi, na majina mengi kama hayo”.
Hii hali haijamkuta mwanangu, lakini ni jambo linalozungumzwa hapo shuleni, wanafunzi wanalalamika. Nimeambiwa kuwa uongozi wa shule imepewa taarifa, lakini wao hawajachukuwa hatua yoyote kwa sababu wanalinda jina au sifa ya shule yao.
Tabia hii mimi naona itakuwa ni kikwazo kikuu cha kuwafanya watoto wetu wasiweze kufikia malengo ya kupata elimu ya kimataifa. Wakipandikiziwa mbegu ya ubaguzi, wataendelea kubaguana hata baada ya kupata kazi zao na pia hawa watoto wetu weusi, watajiona wao ni wanyonge na wageni ni bora zaidi yao. Hii ni vita ambayo ni lazima tupambane ili tuwajengee wanetu uwezo wa kutowaogopa wageni kwa kigezo cha rangi yao.
Ushauri kwa wanaJamii Forum inakaribishwa.
TAJA JINA LA SHULE TUSHUGHULIKIEUamuzi wa aina ya shule mzazi angependa kumpeleka mtoto wake, inatokana na sababu nyingi. Mimi kama mzazi, kwa uelewa wangu, niliamua kumpeleka mwanangu katika shule ya kimataifa ili apate elimu kwa ajili ya uelewa wa mambo mbalimbali ya kimataifa (education for international understanding).
Pamoja na hilo, napenda mwanagu aweze kujijengea uwezo wa kufanya kazi kwa kushirikiana na mtu yeyote kutoka popote pale duniani, pasipokujiona mnyonge mbele ya mgeni yeyote (appreciate working in harmony with anybody without feeling inferior before foreigners).
Ila kwa sasa niko njia panda!. Najiuliza kama nitaweza kutimiza malengo yangu. Nimekutana na kikwazo katika mashule yetu yanayojiita “Ya Kimataifa”. Kikwazo ni UBAGUZI WA RANGI.
Kunashule kongwe zaidi hapa nchini ya kimataifa, ambayo mimi nimempeleka mwanangu baada ya kuona watoto wa marafiki zangu na baadhi ya ndugu wamesoma na kuhitimu katika shule hiyo, baadaye wakawa wanapata nafasi ya kufanya kazi katika mashirika ya kimataifa.
Hata hivyo, hivi karibuni, kumetokea tabia chafu shuleni hapo ya baadhi ya wafanyakazi kuanza kupandikiza mbegu ya dhambi ya ubaguzi wa rangi (Racial discrimination). Kumekuwepo na tabia ya kuwaita wanafunzi kwa majina kama, "Negros, Mchina, Wazungu, Browns, Weusi, Waafrika, Wamarekani, Wahindi, na majina mengi kama hayo”.
Hii hali haijamkuta mwanangu, lakini ni jambo linalozungumzwa hapo shuleni, wanafunzi wanalalamika. Nimeambiwa kuwa uongozi wa shule imepewa taarifa, lakini wao hawajachukuwa hatua yoyote kwa sababu wanalinda jina au sifa ya shule yao.
Tabia hii mimi naona itakuwa ni kikwazo kikuu cha kuwafanya watoto wetu wasiweze kufikia malengo ya kupata elimu ya kimataifa. Wakipandikiziwa mbegu ya ubaguzi, wataendelea kubaguana hata baada ya kupata kazi zao na pia hawa watoto wetu weusi, watajiona wao ni wanyonge na wageni ni bora zaidi yao. Hii ni vita ambayo ni lazima tupambane ili tuwajengee wanetu uwezo wa kutowaogopa wageni kwa kigezo cha rangi yao.
Ushauri kwa wanaJamii Forum inakaribishwa.
Naamini nitaweza kukujibu from experience. Mimi nimesoma shule mbili za kimataifa hapa Dar es Salaam.Uamuzi wa aina ya shule mzazi angependa kumpeleka mtoto wake, inatokana na sababu nyingi. Mimi kama mzazi, kwa uelewa wangu, niliamua kumpeleka mwanangu katika shule ya kimataifa ili apate elimu kwa ajili ya uelewa wa mambo mbalimbali ya kimataifa (education for international understanding).
Pamoja na hilo, napenda mwanagu aweze kujijengea uwezo wa kufanya kazi kwa kushirikiana na mtu yeyote kutoka popote pale duniani, pasipokujiona mnyonge mbele ya mgeni yeyote (appreciate working in harmony with anybody without feeling inferior before foreigners).
Ila kwa sasa niko njia panda!. Najiuliza kama nitaweza kutimiza malengo yangu. Nimekutana na kikwazo katika mashule yetu yanayojiita “Ya Kimataifa”. Kikwazo ni UBAGUZI WA RANGI.
Kunashule kongwe zaidi hapa nchini ya kimataifa, ambayo mimi nimempeleka mwanangu baada ya kuona watoto wa marafiki zangu na baadhi ya ndugu wamesoma na kuhitimu katika shule hiyo, baadaye wakawa wanapata nafasi ya kufanya kazi katika mashirika ya kimataifa.
Hata hivyo, hivi karibuni, kumetokea tabia chafu shuleni hapo ya baadhi ya wafanyakazi kuanza kupandikiza mbegu ya dhambi ya ubaguzi wa rangi (Racial discrimination). Kumekuwepo na tabia ya kuwaita wanafunzi kwa majina kama, "Negros, Mchina, Wazungu, Browns, Weusi, Waafrika, Wamarekani, Wahindi, na majina mengi kama hayo”.
Hii hali haijamkuta mwanangu, lakini ni jambo linalozungumzwa hapo shuleni, wanafunzi wanalalamika. Nimeambiwa kuwa uongozi wa shule imepewa taarifa, lakini wao hawajachukuwa hatua yoyote kwa sababu wanalinda jina au sifa ya shule yao.
Tabia hii mimi naona itakuwa ni kikwazo kikuu cha kuwafanya watoto wetu wasiweze kufikia malengo ya kupata elimu ya kimataifa. Wakipandikiziwa mbegu ya ubaguzi, wataendelea kubaguana hata baada ya kupata kazi zao na pia hawa watoto wetu weusi, watajiona wao ni wanyonge na wageni ni bora zaidi yao. Hii ni vita ambayo ni lazima tupambane ili tuwajengee wanetu uwezo wa kutowaogopa wageni kwa kigezo cha rangi yao.
Ushauri kwa wanaJamii Forum inakaribishwa.
Aisee ulisoma shule gani hizo mkuuNaamini nitaweza kukujibu from experience. Mimi nimesoma shule mbili za kimataifa hapa Dar es Salaam.
Ndio, ubaguzi upo tena sana tu. Kuna shule amabayo sijaisoma, ila tulikuwa tukienda kucheza mpira unakuta wamkaa kwenye benches kama bendera; yani wazungu kivyao, weusi pure kivyao, coloured(.5) kivyao, wachina nao kivyao. Shule niliyosoma year 5 mpaka year 9 ilikuwa hivyo hivyo. Unakuwa una hang out na watu wa rangi yako. Kwanza ukienda kwa any foreigner unajibiwa bila kuangaliwa.
Tena afadhali kama wote weusi wangekuwa na ushirikiano but kati ya hao hao weusi, kuna kutengana, wa Angola kivyao, wa Tanzania kivyao, haiishii hapo tu. Hata wale watanzania kuna vikundi, matajiri na wasio matajiri.
Nilipata wakati mgumu nilivyojiunga darasa la tano. Nikuambie tu wale wazazi wanaodhani education ni ile ile wasijidanganye. Nilikuwa nimetoka shule nzuri ya NECTA, na kiingereza nilikuwa kwenye top 3, ila nilivyojiunga na international school, ndio nilijiona naongea broken. Hii ilichangia kwenye kuchekwa na kutengwa. It wasn't good kabisa. Anyway nilivyoingia la sita niliimprove na form 4 I was no 1 in my class. Walionicheka wote walibaki wananishangaa. My point is ubaguzi upo, it depends on how you receive it. I learnt how to minimise the impact basi siku zikaenda. Nilisoma na watoto wa watu maarufu serikalini ila wao walikuwa kwenye kundi lao na sisi amabao wazazi wetu walikuwa na hela za kuunga unga tuna kundi letu.
Year 10 nilijiunga na shule nyingine international. Hii shule its way better, hamna ubaguzi wa rangi, at least I didn't experience it. Sana sana watakucheka but hawatokutenga. Mtaitana nigger since naona nifashion basi. Its there but sijui niseme its low, very low. This is according to me.
Conclusion
Mwanao ajiunge na extra curriculum activities. Hapo atajenga urafiki na watu amabao wangemtenga. Asisikilize sana maneno, na kama akikutaarifu take action, ikipidi ahame shule. Kuna schools zina sifa ya racism. Apart from racisim, asijiunge na makundi, kuna watoto wa matajiri na they take drugs as glucose. Its bad than NECTA I guess. Cha mwisho, international school are way better than national schools. A level ya international its not necta, necta studies are not the same level as international. In case you are wondering, I took Cambridge syllabus. Goodluck.
-callmeGhost