Ubadhirifu milioni 60 za mradi wa miwa Tarime

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,914
30,972
Wakati zoezi la upimaji wa mradi wa miwa likisua sua huku baadhi ya wanavijiji wakitapeliwa kwa kupewa fedha ambazo ni nusu ya peza zilizotolewa kwenye bajeti na kusainiwa.

Imeaminika sasa kuna mil 40 ambazo ambazo wawekezaji wametoa kwa ajili ya upimaji wa rtk...Pesa hizo ziemesainiwa....Zimetolewa lakini upimaji wa ktk umetolewa bure na mgodi wa ACACIA ambae ametoa watu watatuu wakupima rtk na gari mbili wakilipia mafuta na kila kitu.

Wakati zoezi hilo likiendelea kuna pesa zimetolewa zinaitwa for station use....Naomba nielekeze pesa hizo milioni 20 zimeshatolewa na hazina matumizi yoyote zaidi ya kujaziwa makaratasi vitu vya aibu.

Ubadhiifu mwingine ambao mh Heche ili inabidi uingilie kati...Kuna pesa zimetolewa ambazo ni kwa wananchi waliokuwa wakisaidia kwenye upimaji ikiwemo kuchimba na kupigilia beacons.

Imegundulika waliokuwa wakiwalipa wanakijiji walikuwa wakiwasainisha kwenye karatasi ambayo ilikuwa na majina bila pesa walizopokea kuidhinishwa hapo.

Baadae imegundulikanpesa walizoonyesha kwenye karatasi ambayo waliwasainisha kwa bosi wao ni tofauti na pesa wanakijiji wamepokea....Tunaotaji transparent kubwa kwenye pesa za miradi kama tunaamua tunaitajii kweli wawekezaji

Kama niivyoleta mwanzoni kwamba
Ubadhirifuu mkuubwa ulianza kuonekana siku ya kwanza mezani wakati wahusika wotee wanapewa hela zaoo

Ilikuwa jambo la ajabuu kuona watu wakisainishwa karatasi mbili ambazo zote ni original....Zote zikiwa na majina na pesa sawasawa.Swali lilipokuja ni kwamba kwaniini wasainishwe original mbili na isiwe moja origina nyingine copy.

Huoo n mwendelezo tu wa ufujaji wa pesa za uwekezaji wa mradi wa tarime

Mh raisi/waziri husika kwa yanayoendeleaa msishangae kabisa kuona hata hao wawekezaji wakaishia boda na wasitokee hata kidogo.

Kama mnakula hata pesa a wanakijiji kweliii amwoni aibuu ya toka mbinguni.

Heche tunashaurii ufwatiliee huu mradii kuanzia malipo ya wafanyakazi wotee pamoja na wanakijiji wotee walivyokuwa wakilipwa.

Ubadhirifuu mwingine tutaendelea kuletaa wiki ijayooo
 
Mh. Weche ndio nani mkuu!?
Wanawachezea hao jamaa wa kanda maalum!? Watacheza na masime muda si mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…