UAE yamkubali balozi wa afhganistan chini ya taliban

Ktn shuks

Member
Jul 21, 2024
29
103
Umoja wa falme za kiarabu jumatano umekubali utambulisho cha balozi wa taliban katika taifa hilo lenyd utajiri mkubwa wa mafuta katika ghuba ya kiarabu,ikiwa ni mapinduzi makubwa ya kidiplomasia kwa watawala wa Afghanistan,ambao hawa tambuliwi rasmi kama serikali halali ya nchi hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…