Ktn shuks
Member
- Jul 21, 2024
- 29
- 103
Umoja wa falme za kiarabu jumatano umekubali utambulisho cha balozi wa taliban katika taifa hilo lenyd utajiri mkubwa wa mafuta katika ghuba ya kiarabu,ikiwa ni mapinduzi makubwa ya kidiplomasia kwa watawala wa Afghanistan,ambao hawa tambuliwi rasmi kama serikali halali ya nchi hiyo.