[U]SOUND DRIIVER YA WIN 7 MSAADA[/U]

Mr IQ

JF-Expert Member
Jun 23, 2015
993
1,329
Wakuu habari z saiv natumia desktop ya dell na nime install windows 7 lakini kwnye sauti pale pana alama ya "X"
Nimejaribu kutumia driiver hizi lakini mambo n yale yale
1.Realtek hd aiudio 2.9
2.Realtek auidio definifiniitiion 4.s
3. Audio max drive
4.Online
But I fail help me plz
 
muombe mtu mwenye driver pack solution then u run kwenye pc yako ita install driver zoote ambazo hazipo. driver pack solution ndo dawa ya pc yako mkuu
 
Ingia start hapo kweny Window kisha andika msconfig kisha run results itayokuja...nenda kwenye service kisha tafuta neno windows audio au audio service alaf angalia kam ina run au iko stopped , kam iko stopped basi enable ili iweze kurun kisha apply then restart pc yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…