Baada ya kuapishwa kwa Trump kua Rais wa marekani, ameanza rasmi kutumia account ya twiter yenye alama ya POTUS, ikiwa na maana ya President of the United States of America! Watumiaji kadhaa wa akaunti ya twitter wamekua wakipost lawama kuwa either wameunganishwa na akaunti hiyo ya trump bila idhini yao, au hata kurudishwa baada ya kujiodoa.
Lawama hizo zimeelekezwa hata kwa account inayotumiwa na first lady yaani FLOTUS na account ya makamu wa rais bwana Pence.