Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,582
- 35,257
Jana na juzi na hata sasa , mji umezima ghafla, Rekodi inaonesha vifurushi vya internet vimenunuliwa Kwa wingi Sana siku ya juzi na hasa Jana
Vijana wawili wa Diamond Platnumz wameusimamisha mji, huku Baba Yao akiwa sehemu flani ametulia akiongeza Popcorn 😂
Bifu hili la Harmonize na Rayvanny limejumuisha kila aina ya wapambe na kila aina ya chawa, huku central figure akiwa ni mtoto mzuri Paula wa Kajala
Harmonize anaonekana ku-fight fiercely ili ku-retain trust ya brand yake ambayo Kwa sasa ipo heavily damaged, kufuatia Kuvuja Kwa video zake za utupu, hili ni pigo kibiashara na sio upande wa fan base
Jambo hili limefuatiwa na kutoka Kwa Dis-track kadhaa , hata hivyo Distrack ya Baba levo (Harmo mavi) Kwa upande wangu imekaa kibabe Sana .....
Mtoto Paula wa Kajala ameonekana kuipenda pia Distrack hyo na kuamua kulike kabisa....
Bongo sihami , kosa hela ya Kula usikose hela ya bando
Hata hvyo management ya Konde gang ina mpango wa kulifikisha Jambo hili mahakamani....