TV aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima

Wegr

JF-Expert Member
Apr 27, 2022
230
599
Habari wadau!!

TV yangu aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde halafu inazima na haioneshi picha kabisa tatizo limeanza leo majira ya saa 5 asubuhi

Tatizo linaweza kuwa ni nini, msaada wenu wakuu.
 
Usinunue tena tv zenye Majina ya ajabuajabu..
Tv za maana Ni Sony.. Samsung..Lg.. Hisense n.k
 
Usinunue tena tv zenye Majina ya ajabuajabu..
Tv za maana Ni Sony.. Samsung..Lg.. Hisense n.k
Ha ha haa! haya Mkuu nimekuelewa ebu nisaidie ndugu yangu shida itakuwa nini!!

Maana hapa nasikiliza tu Osmani kwenye Sabufa sioni chochote kinachoendelea
 
Hizo TV ni disposable, nunua brands za maana achana na takataka za kichina
 
Habari wadau!!

Tv yangu aina ZUNNE inch 32 nikiiwasha inawaka mara moja tena sekunde harafu inazima na haioneshi picha kabisa tatizo limeanza leo majira ya saa 5 asubuhi

Tatizo linaweza kuwa ni nini msaada wenu wakuu
Sasa ndugu yangu hata hilo jina lenyewe la TV kama majina ya Comedians. muwe mnanunua TV zenye majina ya kueleweka.
 
Mpeni solution nyie wenye uwezo wa kununua hizo brands nunueni kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
 
Mpeni solution nyie wenye uwezo wa kununua hizo brands nunueni kila mbuzi hula urefu wa kamba yake
Dah! member wenzangu wamenipa za uso hapa mpaka najihisi mnyonge sana

Yaani ukipitia comment ni mmoja tu ndo alitoa jibu lakini wengine wote wameikosoa vikali Tv yangu
 
Dah! member wenzangu wamenipa za uso hapa mpaka najihisi mnyonge sana

Yaani ukipitia comment ni mmoja tu ndo alitoa jibu lakini wengine wote wameikosoa vikali Tv yangu
Dogo unaona kiherehere chako cha haraka kuwaringishia majirani zako hapo Tandale kwenye vyumba vya kupanga eti unamiliki Tv.
 
Back
Top Bottom