johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,695
Tuwe tu Wakweli ni mwanaccm gani Chama Cha Mapinduzi kimemuandaa kuwa Rais wa JMT kama alivyoandaliwa Dr Samia wakati wa shujaa Magufuli au atakavyoandaliwa Dr Emmanuel Nchimbi kuelekea uchaguzi wa 2030
CCM huwa inawaandaa Marais tofauti na Vyama vingine mfano Chadema wanaenda hadi Kwa Padre Kitima kuamuliwa nani agombee Urais na nani agombee Uenyekiti
Kwa Sasa Rais Samia na Rais Mwinyi Ndio pekee wamebeba maono ya CCM Kwa Urais wa Tanzania na Zanzibar
Dr Nchimbi alianza kuandaliwa na Mzee Mkapa hivyo 2030 atakuwa tayari Kwa kubeba jukumu la Amiri Jeshi Mkuu
Tunaelimisha tu
Mlale Unono 😀