NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 342
- 323
Eeh ni kweli lkn zinaunguza maini pia so chaguo ni lakoNi kweli pombe kali zinaua minyoo?
Mkuu hiyo dawa Aloe vera unaipata je...?Daa kweli aisee,jana tu nimetoka kupiga dozi ya aloe vera ya kutoa minyoo,minyoo ina madhara mengi sana kiafya hasa kwa watoto wadogo
mpigie huyu jamaa yuko mbagala huwa anauza iko poa sana mkuu ukipiga chupa mbili utakua poa balaa 0787986992Mkuu hiyo dawa Aloe vera unaipata je...?
hao minyoo wanaishi tumboni lakini wanatagia kichwani au wana njia ya kupeleka mayai kichwani??Nasikia mayai ya minyoo yanaweza ikaingia kichwani yakakupa utaahira. Watu wengine wanadumaa na kuwa na matumbo Makubwa, kusikia njaa mara kwa mara na wengine ukutokusikia hamu ya kula ikijaa tumboni.
Siyo kunywa dawa, utakunywaje dawa bila kupima? Sema hivi kila baada ya miezi mitatu watu wapime waangalie km kuna hilo tatizo!!!!!Wakuu habarini,
Mimi siyo mtaalamu wa AFYA bali ni mdau tu wa Afya. Leo napenda kuwakumbusha ndugu zangu tuwe na utaratibu wa kunywa dawa za minyoo kila baada ya miezi mitatu.
Ahsanteni natumai wataalamu wataongezea zaidi kuhusu madhara ya minyoo mwilini.
Naomba kuwasilisha.
hujui damu inazunguka mwili mzima.?hao minyoo wanaishi tumboni lakini wanatagia kichwani au wana njia ya kupeleka mayai kichwani??
wenye taaluma waje waelimishe juu ya hili jambo vinginevyo tutadanganyana sana humu