mbota
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 1,051
- 582
Wakuu kwema,
Siku tatu zilizopita mwili wangu ulikuwa umechoka sana Basi nikaamua kwenda kupima ila nilipoenda majibu yakasema sina malaria, ila jana hali iliendelea kuwa tete nikaendelea kubanwa na kifua ambapo uchovu ulinizidi na masikio kuto kusikia vizuri, nilipoona kwenye ishu ya kutosikia nikaamua kunywa dawa ya malaria single dose yani baada ya hapo nilipata ahueni sana mpaka sasa.
Nawasihi wakuu kuna baadhi ya vipimo vimeshindwa kung'amua hivi vimelea vya malaria. Tuwe makini