GISAMBO JF-Expert Member Mar 14, 2014 1,187 1,912 Mar 31, 2017 #1 Jamani nawaomba kesho muwe makini na taharifa mbalimbali mtakazo zipokea nyingine zaweza kuwa sio za kweli kutokana na siku ya kesho 1/4/2017 ni siku ambayo watu wengi wana amini ni siku ya wajinga
Jamani nawaomba kesho muwe makini na taharifa mbalimbali mtakazo zipokea nyingine zaweza kuwa sio za kweli kutokana na siku ya kesho 1/4/2017 ni siku ambayo watu wengi wana amini ni siku ya wajinga
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,419 39,496 Mar 31, 2017 #2 Kwahiyo bashite ndio Mjinga wa kwanza sio? Na je yule anayelea mjinga?
GISAMBO JF-Expert Member Mar 14, 2014 1,187 1,912 Mar 31, 2017 Thread starter #3 Bashite ni neno la ki rwanda maana yake (ujinga ) kwa nilio waacha
Super women 2 JF-Expert Member Nov 16, 2016 5,164 6,535 Mar 31, 2017 #5 Bora umenikumbusha...kuna siku nilitaka kufariki kwa taarifa ambayo sio rasmi.loh
GISAMBO JF-Expert Member Mar 14, 2014 1,187 1,912 Apr 1, 2017 Thread starter #6 Nishaanza tumiwa message za ajabu
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 280,865 730,439 Apr 1, 2017 #7 Azarel said: Kwahiyo bashite ndio Mjinga wa kwanza sio? Na je yule anayelea mjinga? Click to expand... Kuna division one na kuna division one ya distinction
Azarel said: Kwahiyo bashite ndio Mjinga wa kwanza sio? Na je yule anayelea mjinga? Click to expand... Kuna division one na kuna division one ya distinction
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 28,419 39,496 Apr 1, 2017 #8 mshana jr said: Kuna division one na kuna division one ya distinction Click to expand... Sawa mshana jr
mshana jr said: Kuna division one na kuna division one ya distinction Click to expand... Sawa mshana jr