Tuwakumbuke wazee wetu waliotangilia lakini tuwekeze fikra kwa hali ya sasa na ijayo

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
7,481
10,338
Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi

Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi kuliko sasa kitu ambacho sio kweli. Au uchumi ulikuwa mkubwa zaidi kitu ambacho sio kweli. Hata wengine hapa kila siku wanamuongelea Magufuli na fikra za kindoto kwamba angefanya hili na lile wakati hatarudi tena.

Mimi nashauri tuwekeze zaidi kwenye hali ya sasa na halisi na kushauri mbinu mpya za kutatua matatizo yetu. Huu ni ushauri tu tutanaki tuna lalama na kuota wakati wenzetu tunaona wanakuwa kidemokrasia, elimu ….
 
Back
Top Bottom