Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,037
- 4,194
Washirika muhimu wa haya mataifa mawili hasimu[ Israel na Iran ] hapo mashariki ya kati ambao wapo bega kwa bega nao katika ushirika muhimu wa kiuchumi, kiulinzi na kiushawishi leo tuwafahamu kidogo in case huu uhasimu ukizaa vita kubwa tegemea kuona kishindo kikubwa sana mashariki ya kati.
Upande wa Israel kuna; U.S.A na U.K. Na, Upande wa Iran kuna:- Russia na
China
Hawa washirika wa haya mataifa hasimu kwa namna yoyote hawatakuwa tayari mshirika wao aanguke kwa sababu athari zitawakumba mpaka wao katika ukanda huo U.S.A na U.K hawatakuwa tayari kuona Israel inaangushwa na Iran kwa namna yoyote ile kuanguka kwa Israel ni hasara kwao nao pia Russia na China hawatakubali kuona Iran inaanguka kwa sababu pia kwao ni hasara kubwa.
Vita hii ikizuka mataifa makubwa yatahusika na haitakuwa vita ya mataifa mawili tena kwa bali vita za pande ya magharibi na mashariki kung'ang'ania maslahi na ushawishi katika eneo hilo la mashariki.
Soma Pia: Iran yakataa wito wa Ulaya kutoishambulia Israel. Kama hawapendi vita wangeilaani Israel kwa mauwaji inayofanya