REALITY JF-Expert Member Jul 2, 2014 4,313 1,850 Jan 6, 2016 #1 Wadau ni fursa kutumia taka ili kuweza kutengeneza vitu vingine mfano kopo LA beer kutengeneza ndege za watoto 'pili maganda ya ndizi kutengeneza mkaa n.k tuweke mji safi taka pia zinafaida
Wadau ni fursa kutumia taka ili kuweza kutengeneza vitu vingine mfano kopo LA beer kutengeneza ndege za watoto 'pili maganda ya ndizi kutengeneza mkaa n.k tuweke mji safi taka pia zinafaida