Salaam,Shalom!!
Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba.
Tutegemee Hali Gani KATIKA USALAMA mipakani Kwa siku zijazo baada ya Rais Ruto kutangaza Hali ya hatari?
Karibuni 🙏
Tutegemee yafuatayo:
1. Chura kiziwi, yule mjinga hatimaye masikio yake yanaweza kufunguka na kuelevuka. Nasema ni mjinga kwa sababu kwa nafasi yake kama kiongozi mkuu wa nchi hii, ni ujinga na ukosefu wa hekima na busara tu kulikomfanya atamke maneno hayo mbele yaumma na yatamrudi daima mpaka ashike adabu yake na kutubu!
2. Mbegu hii kuingia Tanzania na itakuwa balaa kuliko kinachoendelea Kenya. Ogopa sana mtu mpole, mkimya na mvumilivu anapochukizwa na jambo na kuamua kupambana. Watanganganyika ni wapole na wavumilivu sana. Wamevumilia ujinga na upumbavu mwingi kwa miaka mingi sana toka kwa CCM na serikali yao tangu uhuru 1961.
Sasa enough is enough
======================================
HATUA ZA TAHADHARI ZA KUCHUKUA SASA
1. Ondoa viongozi wote wajinga wajinga na wasiojua wajibu wao mfano RC wa DSM, Arusha, Waziri wa Fedha na Rais mwenyewe (Samia Suluhu Hassan) hawafai
2. Ondoa viongozi wote wezi na wabadhirifu wa fedha za umma. Waziri wa Fedha, Kilimo, Nishati na Madini nk nk
3. Vunja Bunge hili. Hili sio Bunge la wananchi Bali ni Bunge la CCM na serikali. Hili Bunge ndilo litakuwa chanzo cha machafuko nchi hii. Kwanza wote hawakuchaguliwa, waliwekwa tu na mwenzao Hayati Rais John P. Magufuli ambaye yeye tayari ameshakufa. Hata hawa wote 99% wanastahili adhabu ya kifo kwa mwenendo na matendo yao!
Itaedelea..............................