Fungukeni basi tujue mitaa hiyo....Mimi naanza na sinza kijiweni pale kwa rasi na Tabata sanene pale kituoni kwenye madereva taxi vile viosk vyote pale biashara kubwa ni bangi ila wanakuwa wanazuga na kuuza pipi na vitu vidogo vidogo.
Taja na wewe vijiwe vya kuuza bangi unavyovijua pengine tutasaidia wakamatwe.
Tabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.Fungukeni basi tujue mitaa hiyo....
NchembaTabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.
Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.
Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.
Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.
Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..
Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.
Yani sehemu zipo kibaooo
Hapo Mwenge Nyuma ya Maryland... Hata Polisi wanapajua vizuri sana.. Wanakujaga wanakamata mateja wanawapeleka uwanja wa Mpira karibu na zile Tuition centers wanawachojoa buku tano tano halafu wanawaachia.Tabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.
Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.
Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.
Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.
Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..
Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.
Yani sehemu zipo kibaooo
Acha kutisha watu..sisi lengo letu kulisaidia jeshi LA police kung'amua vijiwe vya bangi maana wanauza kwa siri Sana.huu uzi upo simple, ila ukifatiliwa vizuri kuna watu mtatafutwa kusaidia police, sasa kama unaropoka kutaka sifa utajuta
Cc: Mwigulu NchembaTabata segerea..kituo cha basi sanene.Kama unatokea mjini ukishuka Hapo sanene..vuka barabara upande Wa pili utaona kuna taxi na pembeni ya taxi bubu hizo kuna vi osk vya wachaga.
Hapo bangi inavutwa na kuuzwa 24/7.
Sinza.ukitoka shekilango road unakunja kwenda tandale pale kijiweni..mtaa Wa kwanza kulia kunja..mbele kidogo kuna kiosk cha mangi..Hapo wanauza 24/7.
Mwenge..Maryland bar..nyuma yake..mtaa Wa kwanza kushoto..Hapo unga..bangi vinauzwa 24/7 hrs.
Mnazi mmoja kona ya Lumumba na mkunguni karibu kabisa na kituo cha polisi..bangi inauzwa mchana kweupee..
Mwenge nyuma ya sibuka FM ..kuna kijiwe pale..unga unauzwa 24/7.
Yani sehemu zipo kibaooo
Mwigulu Nchemba watu wameamua kukisaidia kutaja waharifu kama ulivyotaka, kazi ni kwako sasa.Hapo Mwenge Nyuma ya Maryland... Hata Polisi wanapajua vizuri sana.. Wanakujaga wanakamata mateja wanawapeleka uwanja wa Mpira karibu na zile Tuition centers wanawachojoa buku tano tano halafu wanawaachia.