Mpinzire
JF-Expert Member
- Jan 18, 2013
- 7,451
- 13,388
Binafsi nimefanya uchunguzi toka Mh. Lissu arejee nchini sijaona ata moja aliloongea ambalo unaweza kuweka headline au habari ya kwanza kwenye television yako, tukianza na hapa jamii forums awe mdau pitia nyuzi hapa angalia habari za Lissu tangia arudi utagundua hakuna habari iliyowekwa humu ambayo ni zao la kinywa chake zaidi ya ile "Sitolipa kisasi".
Kwaiyo kabla hatujavilaumu vyombo vya habari tujiulize je, mgombea wetu anazungumza yapi ili aweze kuwekwa front page za magazeti yetu? Je, jamii forums jukwaa huru la siasa lina habari gani nyeti iliyotoka kinywan mwa Tundu Lissu ambayo inaonekana imebeba mashiko kwa Kila member?
Tuandike upotoshaji wake alioungea kule Kenya kuwa Tanzania kuna Corona? Sion Cha kumuandika Lissu ata ye mwenyewe Kila siku anaongea kuhusu risasi 16.