Synonyms MP
JF-Expert Member
- Jun 4, 2024
- 312
- 339
Hizi ngojera za kila siku kuhusu huyu mtoto aliyedai kulawitiwa na RC Nawanda ifike wakati ziache kukihusisha Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake.
Si-CCM Wala Serikali ya CCM wanaoagiza mwanachama au kiongozi yoyote kuvunja Sheria ndio maana Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan alimwondoa Nawanda kwenye U-RC ndani ya masaa 24 baada tu ya tetesi.
Vyombo vinavyohusika vimfikishe RC Nawanda mahakamani bila visingizio kwa kuwa kwa kufanya hivyo mnaharibu Sifa njema ya Chama Cha Mapinduzi zaidi sana mnaharibu Sifa njema za Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Tunaotaka kumsaidia RC Nawanda tukamsaidie mahakamani sio Polisi kwakuwa Polisi sio chombo Cha kutoa haki na kesi zinaishia Mahakamani sio Polisi ili kuondoa hii sintofahamu.
LAZIMA TUJUE, Tanzania ni nchi inayoongozwa kwa Misingi ya Sheria na hakuna aliyeko juu ya hizo Sheria.
Lazima Kila mmoja ajue CCM ni kubwa kuliko yoyote tusiichafue ikatugharimu kwani bila CCM imara hakuna Tanzania imara.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Pia soma